Huyu ndio mchezaji mpira tajiri kuliko wote duniani
Sio Christiano Ronaldo Sio King Leonel Messi
Ni Faiq Bolkiah. Anachezea club ya leicester city reselve team. Katika umri wa miaka 20 anamiliki utajiri wa US$ 20 billion. Ni nephew wa sultan wa Brunei.
No comments:
Post a Comment